Loading...

PICHA 4: Moto Wteketeza Magari Kwenye Garage eneo la Jangwani Dar es salaam Jana

Leo July 13 2016 moto umetokea kwenye garage zilizopo eneo la jangwani Dar es salaam jirani na ofisi za klabu ya Yanga, hata hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa,
IMG-20160713-WA0007 IMG-20160713-WA0009 IMG-20160713-WA0010 IMG-20160713-WA0011

SHUHUDIA Warembo Wajiachia na Ben Pol Red Carpet Basement

MAISHA CLUB (17)
Mrembo ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto akiwa na mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol usiku wa kuamkia leo Maisha Basement katika usiku wa Moyo Mashine.
MAISHA CLUB (18)MAISHA CLUB (19)
MAISHA CLUB (20)
MAISHA CLUB (14)
Mashabiki wakiendelea kujiselfisha na mastaa hao.
MAISHA CLUB (4)MAISHA CLUB (5)
MAISHA CLUB (1)

‎Diamond‬ Platnumz Kikaangoni Tena na ‪‎Skendo‬ ya ‪Kujiweka‬ Kimapenzi kwa ‪Hamisa‬ Mobetto

‎Baada‬ ya Kumaliza Skendo ya ‪‎Kutoka‬ Kimapenzi na ‪Video‬ queen wa Kwetu ya Raymond, ‪‎Diamond‬ Platnumz Kikaangoni Tena na ‪‎Skendo‬ ya ‪Kujiweka‬ kwa ‪Hamisa‬ Mobetto

Tetesi hizo za Hamisa Kutoka na Diamond zimepigiliwa msumari kwa kitendo cha juzi kwenye birthday ya Mama yake Diamond ambapo Hamisa alionekana kuwa karibu zaidi na familia ya Diamond hasa Mama na Dada yake Dai Asma Platnumz, Kitendo hicho kilitafsiriwa na wengi kuwa ndio chombo kipya cha Diamond hasa ukichukuliwa kuwa inasemekana familia hiyo ya Diamond kwa sasa haziivi na Zari ambae ndio mpenzi wa Diamond kwa sasa...

HABARI NZITO: JPM AFANYA MAKOSA. AJIREKEBISHA NA KUTOA TAMKO HILI NA HAKUNA WA KULIPINGA

By Julius Mathias na Beatrice Moses, Mwananchi 
Dar es Salaam. 
Rais John Magufuli ameendelea kutofautiana kimkakati na watangulizi wake, akisema hakuna mtu atakayeshikilia vyeo viwili kwa wakati mmoja baada ya kumteua kimakosa mbunge kuwa mkuu wa wilaya.
Mfumo huo wa Rais Magufuli unakwenda tofauti na watangulizi wake, Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa ambao waliteua wabunge kuwa wakuu wa mikoa na wilaya.
Dk Magufuli alibainisha hilo jana wakati akitoa ufafanuzi uamuzi wake wa kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Fatma Hassan Toufiq.
 “Mtu mmoja kazi moja,” alisema Rais Magufuli baada ya kufafanua kuwa kuna makosa yalifanywa wakati wa uteuzi huo.
Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top