Loading...

HABARI NZITO: JPM AFANYA MAKOSA. AJIREKEBISHA NA KUTOA TAMKO HILI NA HAKUNA WA KULIPINGA

By Julius Mathias na Beatrice Moses, Mwananchi 
Dar es Salaam. 
Rais John Magufuli ameendelea kutofautiana kimkakati na watangulizi wake, akisema hakuna mtu atakayeshikilia vyeo viwili kwa wakati mmoja baada ya kumteua kimakosa mbunge kuwa mkuu wa wilaya.
Mfumo huo wa Rais Magufuli unakwenda tofauti na watangulizi wake, Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa ambao waliteua wabunge kuwa wakuu wa mikoa na wilaya.
Dk Magufuli alibainisha hilo jana wakati akitoa ufafanuzi uamuzi wake wa kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Fatma Hassan Toufiq.
 “Mtu mmoja kazi moja,” alisema Rais Magufuli baada ya kufafanua kuwa kuna makosa yalifanywa wakati wa uteuzi huo.

1 comments:

Huko sahii mweshimiwa uwezi kutumikia mabwana wawili

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top