Loading...

Sikiliza Kauli ya Jerry Muro Baada ya Kuishinda TFF Katika Kamati ya Maadili

July 1 2016 taarifa za mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Jerry Muro kuitwa na kamati ya maadili kujieleza kutokana na kauli zake, iliingia kwenye headlines kabla ya leo July 2 kuitikia wito, baada ya kamati kuona Jerry hana cha kujibu na barua kuwa iliandikwa kimakosa, Jerry Muro alifunguka haya.

“Huu ni ushindi mwingine klabu ya Yanga inaupata japokuwa sio ushindi wa uwanjani, ni ushindi wa haki na maslahi ya Yanga, tumepambana hadi tumeweza kushinda huu ni ushindi kwa wanachama wote wa Yanga, walitupa mualiko wa kutuita katika kamati ya maadili, mualiko ambao haupo sawa sawa”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top