Loading...

TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.

Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.

Innalillah waina illaih rajiun

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top