Loading...

Mwanamuziki 20 Percent Azitupia Lawama Tuzo Tano za Kilimanjaro Awards Alizopata Mwaka 2011..Asema Haya

Mwanamuziki 20 Percent amezitupia lawama tuzo tano alizopata kwa wakati mmoja mwaka 2011 kwenye Kilimanjaro Awards kuwa ndio zilimpa kichwa na kujiona amefika hivyo kuanza kuwa mzembe kwenye kazi zake za muziki kiasi akapotezwa hadi leo hii hayupo katika ramani ya Muziki wa Tanzania...

Mwanamuziki huyu kwa sasa ametangaza kurudi katika lebo yake ya zamani Combination Sound iliyokochini ya Producer Man Walter ...
Mwanamuziki 20 Percent 

Je kwa unavyomjua Mwanamuziki 20 Percent ataweza toboa tena kwenye ushindani mkubwa uliyoko sasa kwenye muziki wa Bongo?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top