Jana wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu
Mtukufu Mkuu sana, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka...
Dikteta uchwara utashindwa
Dikteta uchwara nenda Burundi
Friday, July 1, 2016
1 comments:
how prophet confirm and explain ? thibitisha uo utukufu
ReplyPost a Comment