Loading...

HABARI NZITO NA YAKUSIKITISHA....KIMENUKA TENA KWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI "HAMAD YUSUF MASAUNI" BAADA YA KUINGILIA MAJUKUMU YA MKUU WA JESHI LA PILISI NCHINI (IGP)

Hamad Masauni, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiNAIBU Waziriwa Mambo yaNdani, Hamad Yusuf Masauni, ameingia katika mgogoro kwa kuingilia majukumu ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), anaandika Josephat Isango.
Masauni anatuhumiwa kuingilia madaraka ya IGP kwa kuamuru Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Mukadam Khamis Mukadam “kuondolewa” kwenye nafasi yake.
Hatahivyo, sikuchachebaadayauamuzihuo, IGP Ernest Mangu anadaiwa kuandika barua kuamuru Mukadam abaki kwenye nafasi yake.
Gazeti hili limeona barua mbili; moja ya kumuondoa Mukadam na nyingine ya IGP Mangu ya kumbakiza Mukadam kwenye nafasi yake.
Taratibuzajeshi la polisi zinaeleza kuwa mwenye mamlaka ya kuhamisha, kuonyana au kufukuza viongozi wajuu wa jeshi hilo ni IGP.
Taarifazinaelezakuwa RPC alitoa amri ya kukamatwa, kuhojiwa na kufikishwa mahakamani, dereva mmoja (jinatunalo) anayetuhumiwa kukaidi amri ya kusimama iliyotolewa na askariwa usalama barabarani.
Dereva huyo anadaiwa kuwa na uhusiano na waziri Masauni.
Badala ya kusimama, dereva huyo “alielekeza gari lake kwa askari wa usalama barabarani akitaka kumgonga,” polisi wameeleza.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top