Loading...

ZANZIBAR TENA: YALIYOJILI MUDA HUU...HILI NA TUKIO LA KIHISTORIA KUTOKEA HUKO VISIWANI ZANZABAR

 Kipindi cha karibu na Sikukuu barabara ya darajani na maeneo hayo huwa na msongamano wa watu na magari kuifanya sehemu hiyo kuwa ndogo kila mtu hufika katika eneo hilo kujitafutia mahitaji kwa ajili ya maakuli ya sikukuu Kama inavuoonekana picha wananchi wakiwa katika pirikapirika hiyo leo asubuhi na kuifanya sehemu hiyo kuonekana ndogo kwa wingi wa Wananchi wa Zanzibar. 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top