Baada ya ushindi huo July 11 2016 kikosi cha timu ya taifa ya Ureno kiliwasili Lisbon Ureno wakiwa na Kombe lao na kupata mapokezi makubwa kutoka kwa raia wa nchi hiyo,Ronaldo na wachezaji wenzaji waliwasili Ureno na kutembeza Kombe wakiwa katika basi la wazi.
Loading...
Post a Comment