Loading...

Henry Kilewo ' Hakuna Haja ya Onesmo Nangole Kukata Rufaa ya Kuenguliwa Ubunge, Twendeni Longido Tukawakimbize CCM Mpaka Watajuta'

Mungu ampe ujasiri mzee wetu Onesmo Nangole wala asihangaike na Rufaa, twende na hawa magamba tukawaambie namna ambayo Umma unawachukia kwasasa... Tutawapeleka mpaka mtajuta kushiriki uchaguzi.... Mtakuwa wepesi kuliko ile pamba... Yaani nyie maccm tukikutana huko mtaomba uchaguzi uishe ili mkimbie aibu... Ni huzuni kwa mzee wetu kuenguliwa ila itakuwa somo sahihi kuiambie ccm namna ambavyo Hawapo na UMMA tena.... Twendeni Longindo......

By Henry Kilewo

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top