Loading...

Rais Magufuli: 5,000/= Wanazoomba Trafiki Barabarani Hazina Shida

Amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia Rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu.

Hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa? nawaza tu!

Je, uelewa wa Rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake Rais anaamini rushwa ni ile labda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha?

Rais Magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi.Kwa kauli hii ni wazi wazi Rais Magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! Rais Magu uongozi unahitaji hekima sio kila ni cha kuzungumza! Video

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top