Loading...

Mkoa Paul Makonda Atangaza Msako wa Nyumba Kwa Nyumba Kuwabaini Wasio na Kazi Maalum


Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini wakazi wa Dar wasiokuwa na Kazi maalum za kufanya.

Amesema Jeshi la Polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba ushirikiano wa viongozi wa Serikali za Mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top