Loading...

HABARI NZITO: MSAFARA WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA :HERRISON MWAKYEMBE" UMEPATA AJALI NA HIZI NDIZO PICHA ZA AJALI HIYO

Msafara wa waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe umepata ajali ambapo gari la DPP kupata ajali na kupinduka baada ya tairi la mbele kulia kupasuka
Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa watoto. Wawili waliovuka barabara Bila tahadhari
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai biswalo Mganga na msaidizi wake wametoka salama.
Eneo Ni bwanga Msafara unaelekea Chato kutoka Guitar gari limevutwa lishaamka na safari inaendelea

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHACHANDU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top