Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kabisa na yenye muendelezo wa
ubabe na kuhadaa wananchi Wabunge wa CCM wanalamika kuwa wanalazimishwa
kuja na kuingia Bungeni kwani bunge halina radha kwani Naibu Spika
hafuati kanuni na taratibu, sasa wanatakiwa kujieleza kamati kuu ya CCM.
Thursday, June 30, 2016
Post a Comment